• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Vita kali nyingine ya kuwania tuzo ya mchezaji bora wa kiume FIFA

  (GMT+08:00) 2019-09-04 08:28:53

  Liverpool imemuingiza mchezaji wake Virgil van Dijk kushindana na Lionel Messi pamoja na Cristiano Ronaldo katika kuwania kipengele cha mchezaji bora wa mwaka wa shirikisho la soka duniani (FIFA), ikumbukwe kuwa beki huyo aliwashinda nyota hao kwenye tuzo ya mchezaji bora wa UEFA.

  Man City na Liverpool pia wamewakilishwa katika kundi la magoli kipa bora, Ederson Santana de Moraes na Alisson Ramses Becker sambamba na wa Barcelona, Marc-André ter Stegen kwenye orodha hiyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako