• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Leo mtoto hatumwi dukani, nyasi kuwaka moto uwanja wa Prince Rwegasore Bujumbura- Burundi uso kwa uso na Tanzania

  (GMT+08:00) 2019-09-04 08:32:23

  Waswahili husema "Mtoto hatumwi dukani" leo kutakuwa na mechi kali ya awali ya kufuzu kombe la dunia zitakazofanyika Qatar mwaka 2022, ambapo timu ya taifa ya Burundi watakapowakaribisha majirani zao Tanzania katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Prince Rwegasore jijini Bujumbura Burundi.

  Mshindi wa mechi mbili baina ya timu hizo, atafuzu hatua ya makundi ya kuwania kufuzu fainali hizo za kombe la Dunia.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako