• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Bunge la Afrika Kusini latoa wito wa kukomesha mashambulizi dhidi ya wageni

  (GMT+08:00) 2019-09-04 09:35:21

  Bunge la Afrika Kusini jana lilitoa wito wa kukomesha mashambulizi yanayosababishwa na chuki dhidi ya wageni wakati wageni wengi zaidi nchini humo wameshambuliwa katika siku kadhaa zilizopita.

  Mwenyekiti wa Kamati ya bunge ya biashara na viwanda, maendeleo ya uchumi, maendeleo ya biashara ndogo, utalii, ajira na kazi Mandla Rayi amesema, ni muhimu kwamba vyombo vya utekelezaji wa sheria vijitahidi kuwasaka na kuwakamata washambuliaji na kuchukua hatua ipasavyo ili kukomesha mashambulizi hayo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako