• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mlipuko wa ugonjwa wa Chikungunya waathiri watu elfu 20 nchini Ethiopia

  (GMT+08:00) 2019-09-04 09:35:45

  Ethiopia imetangaza kuwa idadi ya watu walioambukizwa ugonjwa wa Chikungunya imefikia elfu 20.

  Taasisi ya Afya ya Umma ya Ethiopia EPHI imesema kwenye taarifa kwamba, ingawa Ethiopia imefanya kampeni kubwa ya kupuliza dawa ya kuua mbu wanaoleta maradhi ya Chikungunya katika kitovu cha ugonjwa huo huko Dire Dawa, lakini bado kuna waathirika wengi wa ugonjwa huo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako