• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Israel yapanga kufanya mkutano wa ngazi ya juu kati yake, Marekani na Russia

    (GMT+08:00) 2019-09-04 09:41:34

    Waziri mkuu wa Israel Bw. Benjamin Netanyahu jana katika mkutano wa bunge la mawaziri alisema, Israel inapanga kufanya mkutano wa gazi ya juu kati yake, Marekani na Russia huko Jerusalem, na kuendelea kufanya majadiliano kuhusu masuala ya Iran na Syria.

    Bw. Netanyahu alisema, malengo matatu ya jeshi la Israel na idara ya usalama ni kuzuia mpango wa silaha za nyuklia wa Iran, kuizuia Iran kusafirisha silaha kwa chama cha Hezbollah cha Lebanon na kuizuia Iran na wawakilishi wake kuimarisha nguvu kwenye mpaka kati yake na Israel.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako