• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Xi ataka kuboresha mawasiliano ya kimataifa

  (GMT+08:00) 2019-09-04 18:49:42

  Rais Xi Jinping wa China ametoa wito kwa Idara ya Uchapishaji wa Lugha za Kigeni ya China kuinua uwezo wake katika mawasiliano ya kimataifa, na kueleza vizuri China kwa nchi nyingine katika zama mpya.

  Rais Xi amesema hayo kwenye barua yake ya pongezi za maadhimisho ya miaka 70 ya kuanzishwa kwa Idara hiyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako