• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ndege ya Tanzania ayaachiliwa

    (GMT+08:00) 2019-09-04 19:54:21
    Mahakama ya Afrika kusini imetoa hukumu ya kutaka kuachiliwa kwa ndege ya Air Tanzania iliyokuwa ikishikiliwa nchini humo. Baada ya amri hiyo ya mahakama hivi sasa mchakato kuirejesha ndege hiyo mjini Dar es Salaam unaendelea.

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Dkt Damas Ndumbaro amesema Tanzaia imeridhishwa na uamuzi wa mahakama. Hata hivyo mkulima Hermanus Steyn anbaye aliwasilisha kesi hiyo mahakamani na kupata kibali cha kushikiliwa ndege hiyo amesema hajaridhishwa na hukumu hiyo. Ndumbaro amesisitiza kuwa Tanzania tayari imemlipa Steyn dola milioni 20, na wako tayari kumalizia deni lote ila mkulima huyo anatakiwa kurudi katika mahakama za Tanzania.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako