• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Idadi ya satelaiti za Mfumo wa kuongoza mawasiliano wa Beidou wa China yafikia 39

  (GMT+08:00) 2019-09-05 09:25:02

  Mfumo wa Satelaiti za Kuongoza Mawasiliano wa Beidou wa China BDS ni moja ya kampuni nne kubwa zinazotoa huduma za kuongoza mawasiliano kwa satelaiti duniani. Hadi sasa idadi ya satelaiti za mfumo huo imefikia 39.

  Naibu mkurugenzi wa Ofisi ya usimamizi wa Mfumo wa Satelaiti za Kuongoza Mawasiliano wa China Bw. Yang Jun ameeleza kuwa, China itarusha satelaiti 5 hadi 7 mwaka huu, na 2 hadi 4 mwaka ujao, ambapo ujenzi wa mfumo wa BDS utakamilika kwa pande zote.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako