• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wabunge wa Uingereza wakataa hoja ya waziri mkuu kuhusu kufanya uchaguzi Oktoba 15

  (GMT+08:00) 2019-09-05 09:25:37

  Wabunge wa Uingereza wamekataa hoja ya waziri mkuu Boris Johnson ya kufanya uchaguzi Oktoba 15, ambaye ameapa kuiondoa nchi yake kwenye Umoja wa Ulaya Oktoba 31 yafikiwe ama yasifikiwe makubaliano.

  Wabunge waliipigia hoja hiyo kura 298 dhidi ya 56, baada ya baraza la makabwela kupitisha mswada wa kuahirisha Brexit ili kuzuia nchi hiyo kujitoa kwenye Umoja wa Ulaya bila ya makubaliano.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako