• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Kuelekea kufuzu michuano ya CHAN 2020, DR Congo watangaza kikosi cha wachezaji 25

  (GMT+08:00) 2019-09-06 09:08:46

  Kocha wa timu ya taifa ya DR Congo (The Leopard) Christian Biembe Sese Seko ametaja kikosi cha wachezaji 25 watakaowakilisha nchi hiyo katika michuano ya kufuzu michuano ya kombe la mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ligi za ndani (CHAN) itakayofanyika mwaka 2020.

  Mechi ya kwanza itawakutanisha na timu ya taifa ya Jamhuri ya Afrika ya kati itakayopigwa mjini Bangui Septemba 22 na marudiano wiki mbili baada ya mcehzo wa kwanza utakaochezwa kwatika uwanja wa Martyrs jijini Kinshasa. Kabla ya michuano hiyo, DRC itacheza mechi za kirafiki za kimataifa na Red Devils ya Zambia.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako