• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Leopards Dames kuwavaa Cameroon katika mchezo wa makundi wa kufuzu kombe la dunia kwa wanawake

  (GMT+08:00) 2019-09-06 09:09:14

  Timu ya taifa ya wanawake ya DR Congo (Leopards Dames) itacheza na timu ya taifa ya wanawake ya Cameroon kati ya Septemba 27, 28 au 29 katika mchezo wa raundi ya tatu ya hatua ya makundi kufuzu michuano ya kombe la dunia kwa wanawake.

  DR Congo ilifuzu hatua hiyo kwa kupata mteremko baada ya timu ya taifa ya Equatorial Guinea kujiondoa kwenye michuano hiyo. Cameroon yenyewe imeingia hatua hiyo baada ya kuiondoa Ethiopia.

  Michezo mingine itakuwa kati ya Ivory Coast itakayokutana na Nigeria, Ghana watakipiga na Kenya, huku Zambia wenyewe watavaana na Botswana.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako