• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China yashika nafasi ya kwanza duniani kwa uwekezaji katika sekta ya nishati endelevu katika miaka 10 iliyopita

  (GMT+08:00) 2019-09-06 09:42:42

  Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa UNEP limetoa ripoti likionesha kuwa, katika miaka 10 iliyopita, China imekuwa nchi kubwa zaidi ya uwekezaji katika sekta ya nishati endelevu duniani, na inashika nafasi ya kwanza kwa thamani ya uwekezaji wa dola za kimarekani bilioni 758 kuanzia mwaka 2010 hadi nusu ya kwanza ya mwaka 2019, ikifuatiwa na Marekani kwa dola za kimarekani bilioni 356, na Japan kwa dola za kimarekani bilioni 202. Thamani ya uwekezaji wa Ulaya katika sekta hiyo ni dola za kimarekani bilioni 698.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako