• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China Mobile yajenga vituo elfu 20 vya 5G

  (GMT+08:00) 2019-09-06 09:43:29

  Kampuni kubwa zaidi ya simu nchini China, China Mobile imetangaza kujenga vituo zaidi ya elfu 20 vya 5G katika miji 52 muhimu nchini humo. Na inapanga kutoa huduma za kibiashara za 5G katika miji zaidi ya 50 kabla ya mwishoni mwa mwaka 2019.

  China Mobile imesema kuwa itawekeza dola za kimarekani bilioni 3.39 ili kuharakisha ujenzi wa mtandao wa 5G na kuzindua ujenzi huo katika miji karibu 300.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako