• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ethiopia Airlines kuongeza safari za kuelekea Chengdu na Guangzhou

    (GMT+08:00) 2019-09-06 10:24:54

    Mkuu wa mahusiano ya umma wa Shirika la ndege la Ethiopia Asrat Begashaw, amesema shirika hilo litaongeza safari za kuelekea miji ya China ikiwemo Chengdu na Guangzhou.

    Begashaw amesema hatua hii si kama tu itastawisha mawasiliano ya ndege kati ya China na Ethiopia, bali pia kati ya China na nchi nyingine barani Afrika. Ameongeza kuwa Ethiopia inafanya juhudi za kuvutia idadi kubwa ya watalii wa China, pia inataka kuhimiza safari za ndege za mizigo kupitia China, ambapo safari hizi mpya zitakidhi malengo hayo mawili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako