• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Aliyekuwa rais wa Zimbabwe Robert Mugabe afariki dunia

  (GMT+08:00) 2019-09-06 14:16:51

  Kiongozi wa zamani wa Zimbabwe Robert Mugabe leo amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 95.

  Rais wa sasa wa Zimabawe Emmerson Mnangagwa ametangaza habari hiyo kwenye mtandao wa kijamii Tweet.

  Habari zinasema Mugabe amepata matibabu nchini Singapore tangu mwezi Aprili.

  Mugabe aliitawala Zimbabwe kwa karibu miongo miwili mpaka alipoondolewa madarakani mwaka 2017.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako