Mwanasoka asiye na majivuno licha ya utajiri wake, Christiano Ronaldo ambaye ametwaa tuzo ya mwanasoka bora wa dunia mara tano, atapata dola za Kimarekani 139 milioni katika mkataba wake na kampuni ya kutengeneza vifaa vya michezo ya Nike.
Ronaldo ambaye alijiunga na bibi kizee wa Turin Juventus mwaka jana, akitokea Real Madrid, amekuwa na mkataba na kampuni kubwa ya nguo ya Marekani tangu mwaka 2004.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |