• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • AMISOM yazindua mpango wa kuunga mkono wasomali wanaokumbwa na ukame

  (GMT+08:00) 2019-09-09 08:52:15

  Tume ya Umoja wa Afrika jana ilisema, askari wanawake wa kikosi cha Kenya cha AMISOM wamezindua mpango wa kuunga mkono familia zinazoathiriwa na ukame katika jimbo la kusini la Somalia.

  Kamanda wa kikosi cha Kenya cha AMISOM Dickson Ruto amesema kikosi chake kitashirikiana na mashirika ya kijamii kusambaza chakula na kutoa huduma za matibabu kwa familia zenye mahitaji.

  Kikosi hicho kimechangia mchele, sukari, maharange, biskuti, matunda na vyakula vingine kwa familia 150, ambazo wengi wao ni wajane, watoto yatima na wazee.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako