• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uturuki na Marekani zaanza kufanya doria ya pamoja kaskazini mwa Syria

    (GMT+08:00) 2019-09-09 09:40:27

    Wizara ya ulinzi ya Uturuki imesema nchi hiyo na Marekani zimeanza kufanya doria ya pamoja katika Eneo Salama kaskazini mwa Syria. Doria hiyo ni sehemu ya makubaliano yaliyofikiwa Agosti 7 kati ya washirika hao wawili wa NATO. Kwa mujibu wa makubaliano hayo, Eneo Salama na njia ya amani vitaundwa kaskazini mwa Syria na kuondoa wasiwasi wa Uturuki juu ya kikundi cha Wakurdi kinachodhibiti sehemu hii.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako