• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Bandari ya Lamu kuzinduliwa mwezi ujao

  (GMT+08:00) 2019-09-09 18:22:48
  Rais Uhuru Kenyatta amesema bandari ya Lamu itazinduliwa mwezi ujao, hii ilikuwa baada ya kuoneka kuridhika na ujenzi wa bandari hiyo.

  Aidha amesema itafungua nafasi nyingi za ajira kwa vijana wa Kenya.

  Rais alitangaza kuwa mipango inaendelea kuanza ujenzi wa bomba la mafuta malighafi kutoka uwanja wa mafuta wa Turkana hadi bandari mpya.

  Rais amesema miradi ya barabara katika mkoa huo, ni asio tu kuunganisha taifa pia kuvuti wawekezaji kwenye bandari mpya na mkoa.

  serikali inatekeleza miradi ya maendeleo kote nchini na maendeleo yatasaidia nchi kujiondoa katika umaskini.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako