• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Malipo ya nje mwezi Julai ilishuka kwa asilimia 32

    (GMT+08:00) 2019-09-09 18:23:30
    Mtiririko wa pesa ndani ya nchi kutoka kwa Wakenya wanaoishi na kufanya kazi nje ya nchi ulishuka mwezi Julai ikilinganishwa na Juni.

    Ripoti ya wiki ya Benki Kuu ya Kenya inaonyesha kiasi cha fedha kilichotumwa kutoka kwa Wakenya wanaokaa nchi za nje ilifika dola milioni 224 sawa n ash bilioni 23.07 ikilinganisha na dola milioni 295 sawa na sh billioni 30.3 mwezi Juni ,kuashiria kushuka kwa asilimia 31.6.

    Serikali mnamo 2016 ilibadilisha Sheria ya ilikuruhusu msamaha wa mapato ya nje ambayo yalipatikana kabla ya Desemba 31, 2016.

    Utumwaji wa fedha nchini Kenya umeongezeka na kuwa chanzo kubwa zaidi cha fedha za kigeni kutoka nje, kabla ya utalii, chai, kahawa na mauzo ya maua.

    Pia wameshiriki pakubwa katika kuleta utulivu wa shilingi mwaka mmoja uliopita kutoka Mfuko wa Fedha wa Kimataifa (IMF) zamu zake kuisha.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako