• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wauzaji wa matunda wa Rwanda walalamikia ukosefu wa maembe kwenye soko

  (GMT+08:00) 2019-09-09 18:34:16

  Wauzaji wa matunda wamelalamikia ukosefu wa maembe kwenye soko kutokana na kupungua kwa uzalishaji katika miaka michache iliyopita.

  Maembe ni moja wapo ya matunda adimu, nah ii imetokana na miti kuathiriwa na magonjwa ambayo wataalamu wachache tu wanaoweza kudhibiti.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako