• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • KUOGELEA: Timu ya Uganda yatua Tunisia na matarajio makubwa

  (GMT+08:00) 2019-09-10 09:21:47
  Shirikisho la mchezo wa kuogelea la Uganda limesema timu ya kuogelea ya nchini humo imewasili salama nchini Tunisia na ina matarajio makubwa ya kufanya vizuri katika michuano ya kuogelea ya Afrika kwa vijana iliyoanza jana na itamalizika Septemba 15.

  Timu hiyo itaongozwa na bingwa wa bara la Afrika wa kuogelea Rebecca Ssengonzi, naye kocha wa timu hiyo Joseph Kabagoza amesema vijana wake wako salama na wana ari ya kunyakua medali mbalimbali kwenye michuano hiyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako