• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA:  Matokeo ya mechi za kufuzu fainali za mataifa ya Ulaya (EURO 2020)

  (GMT+08:00) 2019-09-10 09:22:28
  Kabumbu za kufuzu fainali za mataifa ya Ulaya (EURO 2020) imeendelea jana katika viwanja tofauti barani Ulaya, Uholanzi imeichakaza Estonia 4-0, nayo Ujerumani ikiibuka kidedea kwa 2-0 dhid ya Ireland Kaskazini katika kundi C, Croatia wao wamelazimishwa sare ya 1-1 na Azerbaijan, nao Slovakia wakichomoka na ushindi mdogo wa 2-1 dhidi ya Hungary.

  Macedonia Kaskazini wao wameifunga Latvia 2-0, huku Poland na Austria zikishindwa kuonyeshana ubabe, Slovenia wameipiga Israel 3-2, katika kundi I, Russia wamewafunga Kazakhstan 1-0, Cyprus wakiivuruga San Mario 4-0, na Ubelgiji wakiwaonyesha kabumbu Scotland 4-0.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako