• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • UM wasema wasomali laki 2.5 wakimbia makazi katika miezi saba ya kwanza mwaka huu

  (GMT+08:00) 2019-09-10 09:23:04

  Ofisi ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa UNOCHA imesema zaidi ya watu laki 2.5 walikimbia makazi kati ya mwezi Januari na Julai nchini Somalia kutokana na ukame na mgogoro. Katika ripoti yake mpya, UNOCHA imesema washirika wa kibinadamu wameendelea kutoa msaada wa kuokoa maisha na ufumbuzi wa kudumu kwa wakimbizi wa ndani.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako