• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Mechi za kufuzu kombe la dunia 2022 Qatar

    (GMT+08:00) 2019-09-10 09:27:46

    Baada ya timu kadhaa kufanikiwa kuingia hatua ya makundi baada ya kushinda mechi zake za marudiano zilizopigwa wikiendi iliyopita, leo viwanja kadhaa vitashuhudia vumbi zikitimka kwa mechi kadhaa kupigwa.

    Malawi watakutana na Botswana, ambapo Eswatini wao watamenyana na Djibouti, Zimbabwe watavaana na Somalia, huku Msumbiji watakutana na Mauritius, Angola wao watakipiga na Gambia, Togo na Comoro, Guinea Bissau watakipiga na Sao Tome e Principe, Rwanda na Shelisheli, huku Namibia uso kwa uso na Eritrea, na Sudan watamenyana na Chad.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako