• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kiwango cha bei ya bidhaa za matumizi cha China chaongezeka kwa asilimia 2.8 mwezi Agosti

  (GMT+08:00) 2019-09-10 18:44:04

  Takwimu zilizotolewa leo na Idara ya takwimu ya China zinaonyesha kuwa kiwango cha bei ya bidhaa za walaji ya China CPI kimeongezeka kwa asilimia 2.8 mwezi Agosti, kiasi ambacho ni sawa na mwezi uliopita.

  Takwimu zinaonyesha kuwa katika mwezi Agosti, bei ya chakula iliongezeka kwa asilimia 10.0, na bei ya bidhaa zisizo chakula imeongezeka kwa asilimia 0.1. Zaidi ya hayo, kiwango cha gharama za uzalishaji wa bidhaa za viwandani cha China PPI kilipungua kwa asilimia 0.8 mwezi Agosti.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako