• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Afrika Mashariki : Benki za EAC zimeona wakati mgumu baada ya ukuaji wa chini wa mapato

  (GMT+08:00) 2019-09-10 19:39:14

  Benki za biashara za Afrika Mashariki zimeona wakati mgumu katika kipindi cha miezi sita hadi mwishoni mwa mwezi Juni mwaka huu, zikirekodi ukuaji wa chini wa mapato kando na ile iliyotarajiwa.

  Taarifa za kifedha ambazo kaguliwa zinaonyesha kuwa wakopeshaji wengi wamejitapeli katika ukuaji wa faida wakati zengine zimegeuka kuwa hasara.

  Wachambuzi wanadhani matarajio ya mapato ya nusu ya pili ya mwaka yanaonekana hata kupungua kwa kasi ya kuongezeka kwa mikopo isiyofanya kazi.

  Utafiti uliofanywa na kampuni ya ushauri ya kimataifa McKinsey & Company inaonyesha Ukuaji na uvumbuzi katika benki za biashara Afrika iliyotolewa mwaka jana ilisisitiza umuhimu wa amana za wateja wakisema kwamba amana na wateja wa biashara ndio chanzo bora cha mapato kwa benki za Afrika zinachangia makadirio ya dola bilioni 11 kwa mstari wa juu wa benki wakati wa kipindi cha 2017-2022.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako