• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: DR Congo kuikaribisha Rwanda mjini Kinshasa Septemba 18

  (GMT+08:00) 2019-09-11 08:57:07
  Timu ya taifa ya DR Congo ijulikanayo kama The Leopards itaikaribisha timu ya taifa ya Rwanda Amavubi Septemba 18 katika uwanja wa Martyrs jijini Kinshasa.

  The Leopards iliyoanza maandalizi Septemba 5 ikijiandaa na kwa mchezo wake dhidi ya Jamhuri ya Afrika ya kati mchezo utakaopigwa mjini Bangui Septemba 22 ikiwa ni michuano ya kufuzu kombe la dunia yam waka 2022 itakayofanyika nchini Qatar.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako