• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda: Mazungumzo ya kibiashara kati ya Rwanda na Burudi yaendelea

  (GMT+08:00) 2019-09-11 19:41:16
  Mazungmzo rasmi ya biashara kati ya Burundi na Rwanda yameanza baada ya utengamano wa kisiasa uliosababisha ghasia na kuvuruga usafirishaji wa bidhaa kati ya nchi hizo mbili miaka minne iliyopita.

  Uuzaji nje kutoka Rwanda kwenda Burundi uliongezeka hadi dola milioni 5.2 katika robo ya kwanza ya mwaka huu kutoka dola milioni 1.1 milioni kwa kipindi kama hicho mwaka 2018.

  Bidhaa kama vile saruji, vinywaji na vyakula bado hazijarejeshwa kwenye soko la Burundi.

  Uagizaji kutoka Burundi hasa chakula ulipungua sana hadi chini ya dola milioni 1, na inawakilisha asilimia 0.8 tu ya jumla ya bidhaa kutoka ambazo Rwanda huagiza kutoka kanda ya Afrika Mashariki.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako