• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Jack Ma aachia wadhifa wa mwenyekiti wa Alibaba

  (GMT+08:00) 2019-09-11 19:41:34
  Mwanzilishi wa kapuni ya kuuuza bidhaa mtandaoni Alibaba, Jack Ma amewachia wadhifa wake baada ya kuiongoza kampuni hiyo kwa miaka 20.

  Kampuni hiyo kubwa zaidi duniani kwenye biashara ya mtandaoni imesaidia kubadilisha bishara ya aina mpya na kucangia pakubwa uchumi wa China.

  Jack Ma mwenye umri wa miaka 55 amesema atatumia fedha zake nyingi kwa mmiradi kama vile elimu na kusaidia wajasiriamali.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako