• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya: Uzalishaji wa saruji kuongezeka Kenya lakini hakuna soko

  (GMT+08:00) 2019-09-11 19:44:57

  Uzalishaji wa saruji nchini Kenya unatarajiwa kuongezeka kutokana na upanuzi wa oparesheni wa wazalishaji wanne wakuu.

  Ripoti mpya ya kampuni ya udalali ya AIB Capital inasema uzalishaji unatarajiwa kuongezeka hadi tani milioni 18.1 kutoka kwa uzalishaji wa sasa wa tani milioni 13.1.

  Matumizi ya ndani yanasalia kuwa asilimia 45 ya uzalishaji wa sasa wakati usambazaji nchini Uganda na Tanzania unapungua kuonyesha kwamba upanuzi mpya utasababisha bidhaa za ziada.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako