• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Maonesho ya 16 ya filamu na vipindi vya televisheni ya kimataifa yafanyika hapa Beijing

  (GMT+08:00) 2019-09-11 20:44:47

  Maonesho ya 16 ya filamu na vipindi vya televisheni ya kimataifa yamefanyika hapa Beijing.

  Eneo maalumu la kituo kikuu cha redio na televisheni cha China limewekwa katika maonesho hayo, ambalo linaonesha tamthiliya bora, bidhaa mpya za vyombo vya habari, filamu nzuri. Mbali na hayo, maonesho ya historia ya maendeleo ya utafiti wa matumizi ya vyombo vya habari vya 5G+4K/8K+AI na mafanikio mapya pia yamefanyika katika maonesho hayo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako