• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Maofisa 184 kuangalia zoezi la upigaji kura kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa Tanzania bara

  (GMT+08:00) 2019-09-12 10:16:04
  Mamlaka za Tanzania imetangaza majina ya maofisa wa umma 184 watakaoangalia zoezi la upigaji kura kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa katika Tanzania bara unaotarajiwa kufanyika Novemba, 24 mwaka huu.

  Taarifa ya umma iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jafo imesema maofisa hao watakula kiapo Septemba, 12 katika mikoa yao chini ya uratibu wa wakuu wa mikoa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako