• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Iran kukiuka ahadi zaidi za nyuklia

  (GMT+08:00) 2019-09-12 10:16:56

  Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema nchi yake itachukua hatua zaidi za kusitisha utekelezaji wa ahadi ilizotoa kwenye Makubaliano ya Nyuklia ya Iran (JCPOA) yaliyofikiwa mwaka 2015 kama inahitajika. Ili kujibu hatua ya Marekani kujitoa kwenye makubaliano hayo na kuiwekea vikwazo Iran, pamoja na Ulaya kuchelewa kulinda maslahi ya Iran, Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran Jumapili lilizindua vifaa vya kisasa vya kurutubisha madini ya uranium ili kuongeza akiba ya uranium iliyorutubishwa, hatua ambayo imepigwa marufuku kwenye makubaliano hayo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako