• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda kufungua njia mpya za anga

  (GMT+08:00) 2019-09-12 20:03:05

  Bunge la Rwanda jumanne lilipitisha rasimu ya katiba ambayo inatoa nafasi kwa nchi hiyo kushirikiana na nchi 32 katika sekta ya anga.

  Kulingana na Waziri wa Miundombinu Claver Gatete,makubaliano ya anga baina ya nchi mbili (BASA) yanafungua nafasi kwa ajili ya njia za anga 92 mpya kwa shirika la ndege la RwandAir.

  Sheria hiyo imefungua dirisha la ukuaji wa utalii na biashara ya usafiri wa anga.

  Gatete alisema ni mikataba 32 tu iliyopitishwa,92 tayari imeshakamilishwa na itatiwa saini.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako