• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Xi Jinping wa China atoa wito wa kuimarisha ujenzi wa China mpya

  (GMT+08:00) 2019-09-12 20:11:10

  Wakati Maadhimisho ya Miaka 70 ya Kuanzishwa kwa China mpya yanapokaribia, rais Xi Jinping wa China ametoa hotuba muhimu, akisisitiza kuwa wanachama wa chama cha kikomunisti na wananchi wote wanatakiwa kushikamana, kukumbuka vizuri majukumu yao, kutafuta maendeleo na kufanya uvumbuzi mpya, kuendelea kuimarisha ujenzi wa China mpya kwa kuwa na nia thabiti kwa kufuata njia ya ujamaa wenye umaalumu wa China, ili kufanya juhudi bila kusita katika kutimiza ndoto ya China ya kustawisha taifa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako