• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Lwandamina agoma kuangalia mechi za Yanga

  (GMT+08:00) 2019-09-13 07:53:15
  Kikosi kamili cha Zesco ya Zambia kimewasili nchini Tanzania tayari kwa kuvaana na wenyeji wao Yanga katika mchezo wa ligi ya mabingwa Afrika.

  Akizungumza mara baada ya kuwasili, kocha mkuu wa timu hiyo George Lwandamina ambaye aliwahi kuifundisha Yanga amesema, wako tayari kukutana na Yanga lakini amethibitisha kwamba hakupoteza muda wa kutafuta mikanda ya wapinzani wao ili aangalie. Amebainisha kuwa, kikosi alichoenda nacho anaamini kitampa matokeo mazuri.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako