• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wanigeria elfu 22 wapotea kutokana na vurugu za Boko Haram

  (GMT+08:00) 2019-09-13 08:54:23

  Wanigeria wasiopungua elfu 22 wameripotiwa kutojulikana walipo tangu kundi la Boko Haram kuanza mashambulizi yake miaka kumi iliyopita katika sehemu za kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

  Rais wa Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu ICRC Peter Maurer aliye ziarani nchini Nigeria amesema idadi hiyo ni kubwa zaidi kuliko nchi yoyote nyingine iliyorekodiwa na ICRC, na kuongeza kuwa asilimia 60 ya watu waliopotea ni watoto, hali inayoonyesha kuwa maelfu ya wazazi hawafahamu watoto wao walipo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako