• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Jarida la Qiushi kuchapisha hotuba ya rais Xi Jinping kwenye mkutano wa kuadhimisha miaka 60 ya bunge la umma la China

  (GMT+08:00) 2019-09-15 18:24:21

  Jarida la Qiushi la China kesho litatoa hotuba iliyotolewa na rais Xi Jinping wa China kwenye mkutano wa kuadhimisha miaka 60 tangu kuanzishwa kwa bunge la umma la China.

  Kwenye hotuba hiyo rais Xi amesisitiza kuwa mfumo wa bunge la umma ni sehemu muhimu ya mfumo wa ujamaa wenye umaalumu wa China, na China inapaswa kushikilia mfumo huo, kuendelea kusukuma mbele ujenzi wa siasa ya demokrasia ya kijamaa, na kuendeleza ustaarabu wa siasa ya kijamaa.

  Tarehe 15, Septemba mwaka 1954, mkutano wa kwanza wa bunge la umma la China ulifanyika mjini Beijing, na kuanza rasmi mfumo wa bunge la umma nchini China.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako