• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Beki wa Man City amtaja Djik ni moto wa kupotea mbali

  (GMT+08:00) 2019-09-16 09:02:30
  Beki wa zamani wa Manchester City, Vincent Kompany amesema kuwa beki kisiki wa Liverpool Virgil Van Dijk ndiye beki bora kuwahi kucheza Ligi kuu ya Uingereza (EPL).

  Dijk mwenye umri wa miaka 28 amekuwa beki bora ndani ya Liverpool tangu atue akitokea Southampton kwa dau la pauni milioni 75 katika dirisha dogo la usajili wa januari 2018.

  Hadi sasa amekamata tuzo ya mchezaji bora wa Ulaya akiwagaragaza Lionel Messi na Cristiano Ronaldo ikiwa ni baada ya kubeba ubingwa wa ligi ya mabingwa Ulaya.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako