• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Messi aishangaa Barcelona ishu ya Neymar Jr.

  (GMT+08:00) 2019-09-16 09:02:54
  Nyota wa Barcelona Lionel Messi anaona kuwa klabu yake haikufanya jitihada kubwa kumpata nyota wao wa zamani, Neymar Jr kutoka PSG.

  Mazungumzo baina ya PSG na Barcelona yalifanyika kwa muda mrefu kwa ajili ya kumsajili mchezaji huyo ambaye alionyesha nia ya wazi ya kutaka kutimka PSG .

  Messi anasema kuwa, haioni kama Barca walifanya juhudi za kutosha kumerejesha japo mazungumzo hayakuwa rahisi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako