• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ofisa mkuu wa mkoa wa utawala maalum wa Macau asisitiza kushikilia sera ya nchi moja na mifumo miwili

  (GMT+08:00) 2019-09-16 19:32:23

  Ofisa mkuu wa awamu ya 5 ya mkoa wa utawala maalum wa Macau Bw. He Yicheng, hivi karibuni alipohojiwa na waandishi wa habari wa Shirika kuu la Radio na Televisheni la China, alisema Macau itaendelea kutekeleza sera ya nchi moja na mifumo miwili na kutumia fursa ya maendeleo ya eneo la kiuchumi la Guangdong, Hongkong na Macau.

  Bw. He amesisitiza kuwa msingi wa sera hiyo ni nchi moja, na ni lazima kulinda mamlaka ya katiba na sheria ya msingi, kushikilia kutekeleza sera hiyo chini ya uongozi wa serikali kuu ya China na kuhimiza utekelezaji wa sera hiyo mkoani Macau uendelee kwa utulivu na muda mrefu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako