• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ethiopia: mradi wa sukari unapata changamoto kubwa

  (GMT+08:00) 2019-09-16 19:59:31

  Mradi wa sukari wa Kuraz nchini Ethiopia utakapo ukikamilika utakuwa mradi mkubwa wa usindikaji.

  Mradi utakuwa katika kiwanja cha ekari 100,000 katika kusini magharibi kando mwa barabara za chini za Mto Omo.

  Moja ya malengo yake kuu ilikuwa kukidhi mahitaji ya sukari ya ndani, kuwa muuza mkubwa wan je na na kuunda maelfu ya ajira.

  Hata hivyo mradi huo umekabiliwa na changamoto kubwa pale uwanja wa kiwanda hicho umepunguzwa na kufikia ekari 75,000.

  Na pia maendeleo yamekuwa yakiyumbayumba kwa miaka sasa. Hii inadhihirishwa na pato kutokuwa imara na kushuka kwa thamani.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako