• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Vijana 32 wa Zambia wahudhuria Semina ya maendeleo nchini China

  (GMT+08:00) 2019-09-17 09:33:40

  Vijana 32 kutoka Zambia wanahudhuria semina kuhusu maendeleo ya vijijini na mijini na upunguzaji wa umasikini iliyoanza Septemba 13 na kuendelea hadi Oktoba 4 nchini China.

  Kiongozi wa ujumbe wa Zambia Don Mugulube amesema, lengo la ujumbe huo kuja China ni kujifunza uzoefu wa China wa kujiendeleza. Pia ameipongeza serikali ya Zambia kwa kuwaruhusu vijana kusafiri katika nchi za nje ili kupata maarifa kwa ajili ya kuchangia maendeleo ya nchi yao.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako