• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Tanzania yazindua kiwanda cha kutengeneza mabomba chenye thamani ya dola za kimarekani milioni 52

  (GMT+08:00) 2019-09-17 09:34:16

  Tanzania imezindua kiwanda cha kutengeneza mabomba chenye thamani ya dola za kimarekani milioni 52 huko Dar es Salaam, ambacho ni kikubwa zaidi kati ya viwanda vya aina hiyo nchini humo.

  Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu imesema kuwa rais John Magufuli wa Tanzania ameagiza miradi yote inayotumia mabomba kununua mabomba kutoka kiwanda hicho kinachoitwa Kampuni ya Viwanda vya Mabomba. Pia amewaagiza maofisa wakuu kuhakikisha kuwa wakandarasi wa miradi ya serikali wananunua mabomba ya nyumbani yenye ubora wa juu na yanayouzwa kwa bei rahisi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako