• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Misri yasema mazungumzo kuhusu bwawa la Mto Nile la Ethiopia hayajapata maendeleo

  (GMT+08:00) 2019-09-17 09:34:49

  Wizara ya umwagiliaji ya Misri imesema, mazungumzo kati ya mawaziri wa umwagiliaji wa Misri, Ethiopia na Sudan juu ya ujazaji na uendeshaji wa Bwawa la GERD lililojengwa katika Mto Nile unaomilikiwa kwa pamoja na nchi hizo tatu, hayakupata maendeleo.

  Taarifa hiyo imesema kuwa, kutokana na Ethiopia kukataa kujadili pendekezo lililotolewa na Misri kwa nchi nyingine mbili, mazungumzo hayo hayakuzungumzia masuala muhimu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako