• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uturuki, Russia na Iran zafuatilia hali ya Idlib nchini Syria

  (GMT+08:00) 2019-09-17 09:35:19

  Uturuki, Russia na Iran zinafuatilia suala la usalama nchini Syria wakati wa mazungumzo kati ya pande hizo tatu, na kusisitiza mahitaji ya makubaliano ya muda mrefu ya kusimamisha vita katika eneo la Idlib, kaskazini magharibi nchini humo.

  Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema, mvutano ulioongezeka katika mkoa wa Idlib umekuwa suala muhimu katika mazungumzo hayo. Tangu Mwezi Aprili, idadi ya raia waliouawa kwenye operesheni za angani na ardhini imefikia takriban 1,000.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako