• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Umoja wa Afrika walaani shambulizi dhidi ya askari wa ulinzi wa amani wa Burundi nchini Somalia

  (GMT+08:00) 2019-09-17 19:43:50

  Umoja wa Afrika umelaani shambulizi dhidi ya askari wa Burundi wa tume ya Umoja wa Afrika nchini Somalia. Shambulizi hilo linalodaiwa kufanywa na kundi la al-Shabab, limesababisha vifo na majeruhi ya askari ambao walikuwa kwenye msafara.

  Mwenyekiti wa Umoja w Afrika Bw. Moussa Faki Mahamat amelaani shambulizi lililotokea jumamosi iliyopita huko Hirshabelle, na kutoa salamu za pole kwa familia za watu waliouawa na serikali ya Burundi na kuwatakia majeruhi wapone haraka.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako