• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Watu 42 watunukiwa nishani za taifa la China

  (GMT+08:00) 2019-09-17 20:08:49

  Rais Xi Jinping wa China amesaini amri ya kuwatunuku watu 42 nishani za taifa kutokana na juhudi zao kwa ajili ya ujenzi na maendeleo ya Jamhuri ya Watu wa China kabla ya China kutimiza miaka 70 tangu kuasisiwa kwake.

  Mshindi wa tuzo ya Nobel ya fiziolojia na dawa kutoka China aliyegundua dawa mpya za tiba ya malaria Bibi Tu Youyou ametunukiwa nishani ya Jamhuri, na aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini China Dk. Salim Ahmed Salim ametunukiwa nishani ya Urafiki.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako