• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Eneo la ushirikiano wa kiuchumi kati ya Zambia na China laendelea kuvutia uwekezaji

    (GMT+08:00) 2019-09-18 08:56:23

    Eneo la ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya Zambia na China ZCCZ limeendelea kuvutia uwekezaji katika vituo vyake mbalimbali vya eneo hilo mkoani Copperbelt huko Zambia, ambalo linaonesha kuwa uhusiano kati ya nchi hizo mbili unaimarishwa zaidi kupitia uwekezaji kutoka China.

    Katibu wa kudumu wa Copperbelt Bw. Bright Nundwe amesema, tangu kuanzishwa kwake mwaka 2007, eneo la ZCCZ limethibitika kuwa chombo kizuri cha kuongeza ukuaji wa uwekezaji nchini Zambia.

    Pia amesema, wanachoshuhudia katika eneo la ZCCZ katika sekta ya uwekezaji mpya kimeonesha kuwa Zambia ni nchi inayopendelewa kufanya uwekezaji wa moja kwa moja wa kigeni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako